
HERI YA SIKU YA NANE NANE!
Panda Technology Services tunawatakia Watanzania wote maadhimisho mema ya Nane Nane , tukitambua mchango mkubwa wa wakulima na sekta ya kilimo katika maendeleo ya taifa letu.
Kilimo kinapokua, biashara hukua; na teknolojia inapounganishwa na kilimo, tunajenga Tanzania yenye fursa zaidi.
Panda Technology Services — Teknolojia kwa Maendeleo.
